Thursday, August 30, 2012

NGUO ZA KAZINI AT HMT

Office skirt kwa sh. 1,000/= tu

Unaweza kuivaa na hii blouse ambayo ni 5,000/= tu

au hili shati la kijivu ambalo pia ni sh. 5,000/= tu
 
This brown top pia ni sh. 5,000/= tu  
 
Hii suti ni sh 10,000/= tu
 
Karibu kwenye duka la hisani la HMT. Nguo zipo nyingi na kwa bei nafuu.
Muda: Jumatau - Ijumaa kuanzia saa 2 na nusu asubuhi hadi 11 na nusu jioni
Jumamosi kuanzia saa 4 asubuhi hadi saa nane na nusu mchana
 
Duka lipo Mikocheni ARCADE BUILDING ground floor.
 
 
 

No comments: