Wednesday, August 29, 2012

DRESS FOR LESS AT HMT

Jipatie vazi lako la usiku kwa TSH 50,000/= tu.

Gauni jeusi kwa TSH 30,000/= tu.


Hili gauni la royal blue ni TSH 20,000/= tu.
 
Magauni yote haya na mengine zaidi yanapatikana katika duka la Hisani la HMT lililopo maeneo ya Mikocheni - Arcade building ground floor.
 Duka linafunguliwa Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa mbili na nusu asubuhi hadi saa kumi na moja na nusu jioni. Pia Jumamosi kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa nane na nusu mchana.
 
KARIBUNI WOTE

No comments: