Tuesday, October 23, 2012

Madawati 680 kwa Mkoa wa Njombe

Taswira ya tafrija ya makabidhiano ya madawati 680 kutoka kwa Hassan Maajar Trust na Tigo, yalitolewa Shule ya msingi Ruhuji kwa wilaya za Njombe,Makete,Ludewa na Wangi'ngombe  yaliofanyika 22 Oktoba.

Mgeni rasmi, Kapteni mstaafu Asery Msangi alikabidhi madawati kwa maDC wa wilaya hizo tano na kuwashukuru Tigo na Hassan Maajar Trust (HMT)  kwa kampeni hii ya madawati iliyochangiwa na 'Tigo Tuchange' . Kutoka HMT alikuwepo Mkurugenzi Zena Maajar Tenga na Kutoka Tigo Meneja Mauzo mkoa wa Iringa Ladislaus Karlo.

Wanafunzi wakileta madawati yao

Mgeni Rasmi Mh. Capt (rtd) Asery Msangi, na wanafunzi wa Shule ya Msingi Ruhuji


Wanafunzi wa Shule ya Msingi Ruhuji wakiimba na kucheza



Wanafunzi wa Shule ya Msingi Ruhuji wakionyesha furaha yao


No comments: