Wednesday, October 21, 2015

Reblog: VODACOM YAJIPANGA KUZUIA MIMBA MASHULENI




Wahitimu wakiwa wima kwa ajili ya wimbo wa taifa.



Mwenyekiti wa Bodi ya shule ya sekondari ya Shimbwe ,Batromeo Temba akizungumza wakati wa mahafalai ya 13 ya kidato cha nne yaliofanyika mwishoni mwa wiki shuleni hapo.


Mgeni rasmi katika mahafali ya 13 ya kidato cha nne katika shule ya sekondari Shimbwe iliyopo Uru Moshi vijijini,Ofisa Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Mawasiliano ya simu za Mkononi,Georgia Mutagahywa akitoa hotuba yake kwa wazazi na wanafunzi waliofika kwa ajaili ya shughuli ya mahafali hayo.


Balozi Mwananidi Majaar akizungumza wakati wa mahafali ya 13 ya shule ya sekondari ya Shimbwe alipohudhuria kama mgeni mualikwa.


Kwa habari kamili tembelea http://abdallahmrisho.blogspot.com




No comments: