Thursday, August 27, 2015

Repost :Jamani Foundation yatoa msaada wa madawati 150 kwa shule tatu za Temeke


Repost from MichuziBlog



Kaimu meneja wa uhamasishaji rasilimali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA)  Hamza Hassan 

(Kushoto), akipokea msaada wa madwati 150 kutoka taasisi ya Jamani (Jamani Foundation) kwa 

niaba ya shule za msingi za Umoja, Kigilagila, na Muungano zilizopo manispaa ya Temeke. Kulia ni 

Nirmala Pabari, katikati ni MS Sadrudin Virji, ambao ni watendaji wa Jamani Foundation


No comments: