Habari Hii imetoka issamichuzi.blogspot.com
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa ameketi katika moja ya madawati yakisasa aliyo yapokea kutoka kiwanda cha Jambo Plastics Ltd ya Jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuisaidia Skuli ya Kiembe samaki Zanzibar anaye shuhudia katikati waziri wa Fedha wa Zanzibar Mhe. Omari Yusufu Mzee. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Jambo Plastics Limited Rupa Suchak katika sherehe hizo za kukabidhi zimefanyika katika Skuli ya Kiembesamaki Zanzibar ambako Waziri Mkuu alikuwa Zanzibar kikazi
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimshukuru Mkurugenzi mtendeji wa Jambo Plastics Ltd Rupa Suchak kwa kwa kuiunga serikali mkono kwa kutoa msaada wa madawati ya kisasa yaliyotengenezwa kwa Plastiki ili kupunguza tatizo la madawati katika Skuli ya Kiembesamaki Zanzibar. Katikati wanaoshuhudia kushoto Waziri wa Elimu Zanzibar Alli Juma Shamuhuna na kulia ni Waziri wa Fedha Zanzibar Omari Yusufu Mzee Suchak sherehe hizo za kukabidhi zimefanyika katika Skuli ya Kiembesamaki Zanzibar
Kusoma Habari Kamili Tembelea issamichuzi.blogspot.com
No comments:
Post a Comment