Thursday, January 15, 2015

Kuwawezesha wanafunzi.....

Meneja wa Airtel Simiyu Bw. Ezekiel Nungwi akikabidhi msaada wa vitabu vya sayansi vyenye thamani ya milioni 6 kwa Mkuu wa wilaya ya Bariadi Bw. Erasto Sima, vitabu hivyo ni sehemu ya msaada wa Airtel kupitia mradi wake wa Airtel shule yetu.
http://michuzi-matukio.blogspot.com/2015/01/airtel-yatoa-vitabu-vya-sayansi.html






No comments: