Wednesday, December 17, 2014

Great works...


Sampuli za madawati yaliyotolewa na Mwenyekiti wa WAMA na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete kwenye Shule za Msingi kwa ajili ya madarasa ya awali katika Manispaa ya Lindi Mjini tarehe 15.12.2014. - Habari kutoka Michuzi Blog



Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipiga picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Lindi, wanafunzi wa madarasa ya awali wanaosoma katika Shule ya Msingi Rahaleo na walimu wao wakati wa sherehe ya kukabidhi sampuli za madawati tarehe 15.12.2014. PICHA NA JOHN LUKUWI. - Habari kutoka Michuzi Blog.

#improvingthelearningenvironment

No comments: