Our quotes....
"Mwaka jana mwezi wa Oktoba tulikuwa Njombe
ambako tulikabidhi madawati 680 ushirikiano wa kampuni ya simu ya Tigo. Mwisho
wa mwezi wa Aprili tulikuwa Singida tulikabidhi madawati 264 na ushirikiano wa
Shirika la Nyumba La Taifa (NHC), wiki 2 zilizopita tulikuwa Mwanza ambako
tulikabidhi madawati 250 na leo hii tuko Shinyanga." - Shariff Maajar. Shinyanga 2013. HMT Partnership with ABG.
#changia #changiadawati #HassanMaajarTrust #31Oktoba2014
No comments:
Post a Comment