"Leo hii Njombe inapata
madawati 680 kwa shule 17 katika wilaya
5. Hii leo HMT tumechochea
tu, basi huvyo tunawahamasisha wananchi wa Njombe kuendelea kuchangia kwenye
jamii yao ili kuleta maendeleo." - Zena Maajar Tenga. Njombe 2012. HMT in Partnership with Tigo.
#Donate #Givingbacktothecommunity #HassanMaajarTrust #31October2014
No comments:
Post a Comment